pojore
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 521
- 1,750
Pia ni vyema ukutumia benki zisizo local itafaa zaidi.Jana nimeuliza ila sijapewa majib
Habar za saa hz wadau
1xbet aisee ni bonge moja la kampun
Toka niijue nimeachana za kibongo maana kula hela huku ni rahisi sana kula kampun zingine kutokana na kumpa mteja option nyingi za kubet
Sasa mm nauliza kuna ambaye ana deposit na kuwithdraw kupitia visa master card
Je ukitumia master card hakuna usumbufu wowote
Na bank gani ambayo ndo itafaa zaid
Maana nataka niachane na Mlipa
Naomba msaada wa maelezo