Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 894946
Hawa nao nimeendelea kuwafanyia utafiti, na kugundua mapungufu yao. Nilianza na odd kidogo na kwa kiwango kidogo ninaendelea kikikuza pole pole kwa malengo, kama sintapigwa hapo mbeleni. Nimeshtuka kukuta wameweka kiwangi cha mwisho cha dau. HIVYO NIKIFIKA HAPO SIWEZI KWENDA MBELE INABIDI NIANZE UPYA TENA. KWA NINI WASIACHIE UWANJA HURU ILI WATU WAJIMWAGE WATAKAVYO? WANAWEKA MA LIMIT TENA?View attachment 894946
Iko kiwango kina badilika maana hata mkuu Osu juzi apo aliweka stake Mlima kwa odd ya 1.4
 
Ahsante Mungu kwa zawadi hii hakika jina lako ni kubwa sana Mungu baba. Leo nimepata domo kubwa sana hakika hupaswi kukata tamaa maana alichokifanya Romania ni unforgetable
IMG_20181011_235331.jpg
IMG_20181011_235225.jpg
 
INTERNATIONAL - INT. FRIENDLY GAMES



Italy v Ukraine

Woooooon

TIP. FT GG✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅


TIME 21:45

INTERNATIONAL - U19 EUROPEAN CHAMPIONSH


Netherlands U19 v Faroe Islands U19


TIP. OV25✅✅✅✅✅✅


TIME 21:00

EGYPT - EGYPT CUP



Misr Lel Makasa vs ABO Qair Semads




TIP. Pick 2 or 3 goals✅✅✅✅✅✅


TIME. 21:00
Wazee mikeka imenusurika, ngoja tuone yajayo.....
 
Daaaah[emoji26][emoji26][emoji26]wakat nyie mnalala kwa furaha me na mtaji umekata kwa iyo team moja[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Screenshot_20181012-000505.jpg
Screenshot_20181012-000455.jpg
 
Back
Top Bottom