bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Unataka na ww uziamshie dude???Natamani ningepata odd 2 nilale nazo
Unataka na ww uziamshie dude???Natamani ningepata odd 2 nilale nazo
Hahahahaha Leo nimekula mikeka miwili basi nipo muruaaaaa hapaUnataka na ww uziamshie dude???
Hahahahaha Leo nimekula mikeka miwili basi nipo muruaaaaa hapa
Pole jamanHongera sana mi hata kwenda kuchungulia sitaki maana hata sijui hali ikoje maana hawa Portugal walivyofumuana hiyo migoli nahisi washajaza Inzi togwa langu
Pole jaman
Pole jaman
Hiyo ni kwako mm nssubiria masaa72 yaishe ndo wanirudishie hela ung iliyokwamaKweli kabisa mkuu,Airtel ukikosea inarudishwa
Hamna usumbufu ukiwithdraw hela yko fasta unapataBenk yoyote yenye card za master au visa pia kuweka ni instant kwenye kutoa ni kati ya siku 1 hadi 5 za kazi mie mwanzo nilitumia benki ya Exim kadi yako iruhusiwe matumizi ya matandaoni tu
Mnisaidie watu mnaotumia 1xbet, mnatumia card ya bank gan amvayo ndo reliable.Hamna usumbufu ukiwithdraw hela yko fasta unapata
Risk kubwa sana hapa
Kumbe umepataNimerudi aisee nimekuta 1xbet Mturuki na mwenzie Scotland wamechoma nyumba vibaya vibaya ila stake zangu walau nimerudishia Premier sema ubaya wa hizi kampuni zetu za kisukuma yaani kulipwa bado na hapa 1xbet ndipo inapowaovertekia km kishada.View attachment 895174
Yes mkuu ila najipanga leoImeondoka au?? Mi nina mawazo na lituania niliwapa over 2.5 aisee hata kuangalia matokeo naogopa
hata huko hujafika kwenye hiyo stake unaanza kuona mapungufu? mbona kuna watu humu wana stake 1 000 000 na inakubaliView attachment 894946
Hawa nao nimeendelea kuwafanyia utafiti, na kugundua mapungufu yao. Nilianza na odd kidogo na kwa kiwango kidogo ninaendelea kikikuza pole pole kwa malengo, kama sintapigwa hapo mbeleni. Nimeshtuka kukuta wameweka kiwangi cha mwisho cha dau. HIVYO NIKIFIKA HAPO SIWEZI KWENDA MBELE INABIDI NIANZE UPYA TENA. KWA NINI WASIACHIE UWANJA HURU ILI WATU WAJIMWAGE WATAKAVYO? WANAWEKA MA LIMIT TENA?View attachment 894946