mwanyumba2020
Member
- Jul 2, 2018
- 61
- 36
Mkuu weka hta odd 10 tu hali mbaya kinomaBOOM Hii week tamu sana
View attachment 897844
upo vizuriBOOM Hii week tamu sana
View attachment 897844
Aisee we ni Mrusi au Kanji!!?
MrusiAisee we ni Mrusi au Kanji!!?
Odd zikishafika kumi kasi ya kushikilia moyo inaongezeka, tehtehteh.Fundi wa kuchambua mkeka embu naomba anisaidie odds 10 za uhakika
Ukiweka mwingine tuwekee tuufate ndugu.
Odd zikishafika kumi kasi ya kushikilia moyo inaongezeka, tehtehteh.
Hii timu ya fano calcio ni itali ligi ganiMkeka wa mchana..team 1 saa8 dakika 45 inaanza na ya pili saa9 dakika 30, usishangae nimecheza draw alafu less that 1.5 ili nipate odds ya 6 lakini FT itatoa 0-0, lets pray for green
View attachment 897941