Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
gg yes odd mzigoIn play
Tenerife v Lugo
Total Over 0.5
Odd; 2+
Kuna mmjo anapoteza mda hataki kifunga!gg yes odd mzigo
Lost[emoji23]In play
Tenerife v Lugo
Total Over 0.5
Odd; 2+
aliyetembea na mimi.time 14:00
play single
Thailand vs Trinidad and Tobago
home win & under 2.5 odd 5
extra cs 1-0
Odd zikishafika kumi kasi ya kushikilia moyo inaongezeka, tehtehteh.
1x bet app bundle lako tu[emoji23]Wadau mwenye kujua app inayoonyesha mpira tofauti na mobdro
Hua inakata kata sana kwangu hiyo sijui kwa nn1x bet app bundle lako tu[emoji23]
Me na kahalotel kangu huwa naenjoy Sana live stream!Hua inakata kata sana kwangu hiyo sijui kwa nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpenzi wangu ameanza kuhisi mimi ni mwanachama wa Freemason [emoji3][emoji3][emoji3].
Nimemwambia acha kupika maharage ntakutumia pesa ukanunue Kuku.
Kuna kenge kakosa penalty hapo! AgrrHizi ni odds za bure kabisa. Romania Wapo pungufu pia. Wahi kbla kanji hajapunguzaView attachment 898070
Dustan Tadic Huyo. Sema 2nd half watapata ushindiKuna kenge kakosa penalty hapo! Agrr
Weka makombola jamvini mkuu tujifrimanishe [emoji38]Mpenzi wangu ameanza kuhisi mimi ni mwanachama wa Freemason [emoji3][emoji3][emoji3].
Nimemwambia acha kupika maharage ntakutumia pesa ukanunue Kuku.
Nacheza Inplay kikapu mkuu.Weka makombola jamvini mkuu tujifrimanishe [emoji38]
Kwa sasa nimepumzika maana toka asubuhi hakuna loss ni mwendo wa paid..Weka makombola jamvini mkuu tujifrimanishe [emoji38]
mkuu, huwa unatwaga under na over? Pia unacheza Kwa quarter?Nacheza Inplay kikapu mkuu.