Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Yah nacheza U/O au muda mwingine ushindi kwa Quarter lakini.mkuu, huwa unatwaga under na over? Pia unacheza Kwa quarter?
Yah nacheza U/O au muda mwingine ushindi kwa Quarter lakini.mkuu, huwa unatwaga under na over? Pia unacheza Kwa quarter?
Mkuu harufu ya pesa inanukia kama uliplace betPole mkuu..jaribu na iyo 5 mchana huu
View attachment 897964
Extratip CS NO 1 - (2-0) ama (3-0)
CS No2 - (0-0) ama bahati mbaya (1-0)
Option ipi unaitumia kwenye kikapu mkuu nami nianze kucheza za kikapu niongeze wigo wa kula na kuliwaKwa sasa nimepumzika maana toka asubuhi hakuna loss ni mwendo wa paid..
Ngoja niache kwanza maana ngoma ikivuma sana inapasuka.
Under na Over au Direct Win kwa robo yenye Dk 10.Option ipi unaitumia kwenye kikapu mkuu nami nianze kucheza za kikapu niongeze wigo wa kula na kuliwa
Mkuu harufu ya pesa inanukia kama uliplace bet
wametoka 1-0 ile ya bahati mbaya correct score,Nawasubiria wakenya mkuu, hao Serie C sikuwapata 1xbet
goal la 3 nahisi penalt wamepewa wakenyaNawasubiria wakenya mkuu, hao Serie C sikuwapata 1xbet
3-0 nowNawasubiria wakenya mkuu, hao Serie C sikuwapata 1xbet
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] we acha bangeMpenzi wangu ameanza kuhisi mimi ni mwanachama wa Freemason [emoji3][emoji3][emoji3].
Nimemwambia acha kupika maharage ntakutumia pesa ukanunue Kuku.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] we acha bange
Wajinga sana wananichania mkeka. Nimeona Romania Wapo pungufu nikawauaHawa Serbia niliogopa kuwapa ushindi nikawa washinde Shoot on target naona wako 3-3.
Goooo Serbia.
Dah mwenyewe siamini naona hata Shoot on target wameshindwa.Wajinga sana wananichania mkeka. Nimeona Romania Wapo pungufu nikawaua
WON BET...Pole mkuu..jaribu na iyo 5 mchana huu
View attachment 897964
Extratip CS NO 1 - (2-0) ama (3-0)
CS No2 - (0-0) ama bahati mbaya (1-0)
Natamani ngecheza na CS SCORE 3-0 na 1-0WON BET...
View attachment 898111
NB-Hii ni pesa nzuri sema no 5 cheza Under 3.5 goals , ama double chance yenye draw
Pole mkuu..jaribu na iyo 5 mchana huu
View attachment 897964
Extratip CS NO 1 - (2-0) ama (3-0)
CS No2 - (0-0) ama bahati mbaya (1-0)