itabhanya
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 419
- 393
Samahan x bet unaangaliaje mpira1xbet jana nilichek game ya ujeruman had mwisho
Samahan x bet unaangaliaje mpira1xbet jana nilichek game ya ujeruman had mwisho
mwanangu unachambulia site gani match zako? mana unamuotea si mchezoWON BET...
View attachment 898111
1x2 au,3way maana moja tu3 way inamaana gan wakuu
Mfano 3way3 way inamaana gan wakuu
Nimempa winITALY vo Leo wakuu
Mfano 3way
Poland vs italy
3way 2 hapa namaanisha kuwa italy itashinda
3wy/1X2 ,1 home timu itashinda
X watatoka droo
Ahsante mana ilikua inanisumbua sana kuielewaMfano 3way
Poland vs italy
3way 2 hapa namaanisha kuwa italy itashinda
3wy/1X2 ,1 home timu itashinda
X watatoka droo
Kuna option ya kuipa timu zote droo au ushind/droo kuna double chance inayokuwezesha kubashir matokeo mawili yaan kushinda au droo,kushinda au kushinda awayKwa mfn 3 way Draw unaweka draw ya kawaida au kunaoption ya kuipa timu moja wapo I draw
Samahan x bet unaangaliaje mpira
Nimekuquote vibaya ChiefNidownlod nn apo??In play au
Nimekuquote vibaya ChiefNidownlod nn apo??In play au
Live au angalia kwenye ukurasa wa mbele timu zinazochezaGuys In play iko sehem gani 1x bet???
Ni hapo mkuuAnhaaa naomba niambie
In play ipo sehem gn