Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Timu za leo za wamama
Screenshot_2018-10-12-11-24-50.jpg
 
time 14:00
play single

Thailand vs Trinidad and Tobago

home win & under 2.5 odd 5

extra cs 1-0
 
Kwel wanasema bet kistaarab...jana nilianza na mtaj wa buku,had ukafkia elf 78..sasa zile match za usiku,akina germany etc,...ndo zkanifilisi,yaan niliporomoka toka elf78 had sasa nacheza wajapan hawa asubuh nna mia7 tuu,jinsi nilivyoporomoka,yaan hapa et nawaza niweke buk10 nianze tena..

Nilichoamua sasa,..nkifikisha zaid ya elf 50 na kuendelea,hzo za ziada natoa nabak na elf50,hii imeshanitokea zaid ya mara 4 now sikomi.

Every game has rules wakuu,tu bet kistaarab
 
mkuu ni IN Play ama
 
Betting kama ngada tu ukiwa na salio kwenye akaunti yako utalitumia mpaka liishe ndio utaacha kucheza, me jana pia nilimaliza kila kitu leo hapa natoa macho tu kama mjusi kabanwa na mlango.
 
Back
Top Bottom