Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi ukibet kwa auto bet halaf ukashinda hela yako hupat
Maana imenitokea nilikuwa nabet fasta fasta inplay sasa gamw zote nimepatia halaf wameniandika cancel
Screenshot_20181013-221518.jpeg
Screenshot_20181013-221454.jpeg
 
kitu kingine cha kujiuliza wadau ni kuhusu mitandao iliyopo yaan Airtel, tigo na Vodacom. Na malalamiko mengi yapo vodacom je? kwa mnaotumia mitandao mingine inakuaje kuhusu kutoa pesa na kuingiza kwenye account ya 1xbet...

pendekezo naona tungejipa comment kuhusiana na hili je? tutumie Airtel or Tigo or Vodacom nawasilisha kwa ambao pia mnatumia mitandao mingine mtupe majibu kutusaidia maana Mlipa naona wanakula pesa za watu bila jasho toeni mirejesho wakubwa heshima kwenu!!!

payment.JPG
 
View attachment 897152
Natumia mtandao wa TIGO PESA sijawahi patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw huu ni mwaka wa pili sasa toka nime anza itumia 1xbet
 
uki staajabu ya Amenia utayaona ya morocco team za Africa ni hatari kwakweli
 
Back
Top Bottom