nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Dah msumbiji bhana..
Hahaaha imenibidi nicheke tu hahahaaDah msumbiji bhana..
Nina uhakika msumbiji walibet mkuu.Hahaaha imenibidi nicheke tu hahahaa
Nimejaribu mara kadhaa kwa odds above 1.4 lakini inagoma.Wanasema the type of bet does not correspond to the requirement of the bonus offer.Nenda setting switch main account to bonus account tayari utaanza kuitumia. Masharti yake bonus ina accept chaguo lenye odd kuanzia 1.4
ChaliAtakae fata afate Leo n freeView attachment 896859
Alianza kwa fujoNina uhakika msumbiji walibet mkuu.
Nielekeze pa kusoma hayo maelezo ya bonus ili nione nakosea wapiMkuu unajua kusoma Kiingereza? Kama unajua angalia kwemye hivyo vigezo utakutana na jibu lako.
Nimefata X2Hii game ya ujerumani mnaionaje wazee,mbona naona nyeupe sanaaa
Tukutane sheliView attachment 887664
ni benk ipi mkuu unatumia na ukiwithdraw inachukua mda gan kuingia kwenye accNami pia kuna pesa ilikwama nikachat na jamaa whatsapp hata masaa 24 hayakuisha pesa ikaingia hivyo kila mmoja na hali yake lakini nashauri kutumia njia za kibenk yani hakuna cha beyonic wala nini.
Exim pia inategemea uwa ni siku 1-5 za kazi mie huwa siku 2 hazipiti,benki yoyote cha msingi kadi yako ya Master au Visani benk ipi mkuu unatumia na ukiwithdraw inachukua mda gan kuingia kwenye acc
Hiz kampuni za kubet hazifanyi Fair bhana kweny ugawaji wa odd. Asaaa Armenia kumbe hii mechi kwake ni ngumu hlf anapewa 1.08 odd na hakuna chcht had saiv[/QU
Hiyo mechi haikuwa ngumu kiongozi ni hiyo timu tu ya armenia haieleweki kama taifa stars yetu tu wanamtegemea Mikhitaryan tu hao gibratah ni wabovu san,yaani jamaa wamepewa odds ya 34
na wewe odd ya 1.08 inatafuta nini kwenye mkeka wako? hiyo hata ukiplay single na kuweka laki unakula elfu nane ukiweka milioni unakula elfu themanin sasa kuna biashara hapo? epuka odds za aina hiyo hasa ukikuta zipi kwenye timu za real madrid na psg wakiwa away.Hiz kampuni za kubet hazifanyi Fair bhana kweny ugawaji wa odd. Asaaa Armenia kumbe hii mechi kwake ni ngumu hlf anapewa 1.08 odd na hakuna chcht had saiv
na wewe odd ya 1.08 inatafuta nini kwenye mkeka wako? hiyo hata ukiplay single na kuweka laki unakula elfu nane ukiweka milioni unakula elfu themanin sasa kuna biashara hapo? epuka odds za aina hiyo hasa ukikuta zipi kwenye timu za real madrid na psg wakiwa away.
Mi mwenyewe naona German anashinda, ana odd 2Hii game ya ujerumani mnaionaje wazee,mbona naona nyeupe sanaaa
Maelezo ya M-Pesa mastercard wao wamejikita kwenye kulipia huduma za mtandaoni.ebu jaribu ukiipata pesa leta mrejesho kuna wadau wengine watashawishika kuwakimbia wazee wa Beyonichabari wandugu kwa msaada zaidi kwa wanajukwaa waweze kuelewa je kuna mwana jukwaa kajaribu kuwithdraw kwa njia hii afu akatoka kupitia mpesa master card tupeni mirejesho kwa njia nzuri salama ili wadau waifwate kama hamtojali
View attachment 897127