Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna tatizo la kiufundi hata Ukiangalia kwny ku deposit unaona hamna options za tigo pesa, Mpesa wala airtel money
 
Duuuh aisee, hapo kuipiga ni mtihani sana. Mimi nimeshaijaribu zaidi ya Mara 6 nikaambulia zile gawio la team 8 hela kiduchu kweli kweli nikaacha.
Hata ukipiga possibility ya kuzipata pia ni mashaka mashaka bora kampuni ingekuwa hapa tz
 
Kwny 1Xbet nimeona tatizo lipo voda kwny ku deposit uwa hela zina fail sana ila uwa napambana nao na wana rudisha so nacho fanya uwa na deposit thru tigo pesa changamoto niliopataga tigo pesa ni cku mmoja nili withdraw laki 4 ilichelewa sn kufika nilitumia means za Social Media na email za warusi ndani ya masaa matatu hela yng nilitumiwa
 
Wakuu hao biskra na usm blida wapo nchi gani?
FB_IMG_1539435600707.jpg
 
Kwny 1Xbet nimeona tatizo lipo voda kwny ku deposit uwa hela zina fail sana ila uwa napambana nao na wana rudisha so nacho fanya uwa na deposit thru tigo pesa changamoto niliopataga tigo pesa ni cku mmoja nili withdraw laki 4 ilichelewa sn kufika nilitumia means za Social Media na email za warusi ndani ya masaa matatu hela yng nilitumiwa
Naweza kudeposit kwa kutumia namba ya tigo ya mtu mwingine kwenda kwa account yangu huku namba yangu iliyo registered ni ya voda?
 
Mkuu issac77 unataka kusema huyu jamaa mwenye namba 0758 460813 sio mfanyakazi wa MLIPA? Huyu atakua anajua hela zetu zilipo Manake ndio pekee anayeshughulikia Mihamala yetu.

Naomba uniambie ofisi zao zipo Mikocheni Ipi Niende..Tukishindwana nipitie Oysterbay Polisi tukamaliziane huko.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU JAMANI.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kama nakuelewa mkuu, 1×bet nimeanza kuitumia wiki iliyopita ipo vizuri mno.Ila nimeona kwenye miamala kuna shida, nimetest ku withdraw inakuwa kasheshe. Sababu ya ugeni nikaona acha ninyamaze, kumbe hata wa kale mnapita humo?.Una baraka zetu haswa sie tulio huku mbali mikoani.
 
Back
Top Bottom