Mkuu issac77 unataka kusema huyu jamaa mwenye namba 0758 460813 sio mfanyakazi wa MLIPA? Huyu atakua anajua hela zetu zilipo Manake ndio pekee anayeshughulikia Mihamala yetu.
Naomba uniambie ofisi zao zipo Mikocheni Ipi Niende..Tukishindwana nipitie Oysterbay Polisi tukamaliziane huko.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU JAMANI.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Naomba uniambie ofisi zao zipo Mikocheni Ipi Niende..Tukishindwana nipitie Oysterbay Polisi tukamaliziane huko.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU JAMANI.
Hiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app