issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Siku ya kwanza 14k siku nyingne 4k. Nikaacha.nane walikupa sh ngapi
Siku ya kwanza 14k siku nyingne 4k. Nikaacha.nane walikupa sh ngapi
Shida inakuwa wapiKama nakuelewa mkuu, 1×bet nimeanza kuitumia wiki iliyopita ipo vizuri mno.Ila nimeona kwenye miamala kuna shida, nimetest ku withdraw inakuwa kasheshe. Sababu ya ugeni nikaona acha ninyamaze, kumbe hata wa kale mnapita humo?.Una baraka zetu haswa sie tulio huku mbali mikoani.
WALE WA 1XBET TUMIENI NJIA ZA KIBENKI ENDAPO M-LIPA WANAREKEBISHA MFUMO
Sasa naona wengine wanalalamika kinoma huku njia ni nyingi kweli kupata au kutuma pesa kwenda 1xbetMm nimetoa Mara kadhaa ipo vizuri sema msg ya mPesa ndo shida ila hela inaingia kimya kimya
Hata mimi saiv naona hela inaingia kimya kimya tuu. Msg nakuta kesho yakeMm nimetoa Mara kadhaa ipo vizuri sema msg ya mPesa ndo shida ila hela inaingia kimya kimya
Ina maana hua unauzaAtakae fata afate Leo n freeView attachment 896859
Shida inakuwa wapi
Daaa ungewekaga buku tano hapo sema kutokujua tu but hongera mkuuBaada ya jana Mali kunikosesha mali, nikaamka na ngumu kumeza Win-GG, kwa nguvu ya jero
View attachment 896974
Umeona Uganda bado senegal kamandaMuogope uyo Senegal, Wasudani hawtabiriki Mkuu
Sasa naona wengine wanalalamika kinoma huku njia ni nyingi kweli kupata au kutuma pesa kwenda 1xbet
wakuuu hivi nikiweka mkeka kwa kutumia hela ya bonus na mkeka ukatiki ilihali nimefuata vigezo vyote vya hzo bonus za 1xbet je naweza kuwithdraw mpunga nilioshinda?
Hiyo hela mkuuuLeo mhindi lazima alipeView attachment 896626
Nami pia kuna pesa ilikwama nikachat na jamaa whatsapp hata masaa 24 hayakuisha pesa ikaingia hivyo kila mmoja na hali yake lakini nashauri kutumia njia za kibenk yani hakuna cha beyonic wala nini.Haya mambo akilalamika mwingine unaweza kuona kama hawajui or wanakosea.
Siku ukikutana na usumbufu ndio utakiri kuwa kuna mapungufu.
Nina muda mrefu ninatumia 1xbet Ila siku nimeona hawa MLIPA wameanza kushindwa kuhudumia kampuni kubwa kama 1xbet.