Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi tuseme ufalme wa soka kwa hawa watoto wa Hitler (German) ndo umekwisha?? Aisee [emoji41]
 
Niliweka pesa kwenye mastercard tangu tar 12/9 ila mpaka leo iligoma kwenda 1bet na mpaka leo awajashughulikia tatizo na kwenye mastercad aipo...ukiniuliza ilipoenda me mwenyew sijui

hapo kweli pagumu vodacom sio kampuni
 
Aisee, Flamengo big up
Screenshot_20181013-235020~2.jpeg
 
Hizi kesi zipo nyingi sana..Lazima tuzipatie majibu.Hivi hela unapoteaje kwenye system?

Back
Top Bottom