Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nawasalimu wakuu [emoji112][emoji112]

Mapambano na yaendelee
 
Wazee leo kilichotokea 1x naona ni figusi au labda ndo sheria zao ilikuwa limebak 1004 kwenye aknt wakat na place Bet ikaja amount 1050 na kwakuwa zilikuwa inplay nilikuwa naweka fasta fasta ile bet ikakubali lakin ikaandika advance bet sh 46 amount ikabaki 0.00 sh sasa nashangaa mkeka umetik lakn hela imerudi 1004...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…