Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu tumeibiwa ela ze2 UNAANZA LETA MASIHARA APA
Sema umeibiwa wewe sio mmeibiwa na nani tatizo unakurupuka tu na utaibiwa sana na sio kuibiwa tatizo ujuaji badala ya kuuliza wajifanya unajua haya kaa na ujuaji wako sasa
 
Iyo pesa ndio kwaheri mm pia ad Leo nina jasira wamemeza, pesa zangu ao xbet AF ukisaambia wa2 umu wanakuona, unazingua ngoja liwakute
Aisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
 
Alafu kuna watu wanaleta masihara ngoja ili swala liwakute
 
Pole sana mkuu,tatizo sio kampuni ya 1xbet naomba nikusahihishe hapo kwanza tatizo kubwa ni hawa Mlipa ambao wapo katikati ya sisi na 1xbet meabs ukituma pesa au kutoa pesa lazina ipitie kwao ndo ifike kwako au 1xbet,1xbet ni kampuni makini sana lakini jaribu kufuatilia pesa yako utaipata kuna no aliiweka mdau humu ya ifisi za mlipa itafute upige ni ya mezani waambie unatak kuongea na boss wao pesa yako utaipata usiiache unaanzaje kuwaachia pesa
 
Saiv. Nimelipa mara tatu hela inapotelea juu juu
 
1Xbet ni matapeli wakubwa ni mara mia ubet kwenye makampun yanayojitangaza kwenye video yani game ikiisha unalipwa hapohapo.
Nawapa kongole sana sportpesa na Mkekabet hawa jamaa wanajua kazi yao barabara game ikiisha haichukui hata sekunde tano mzigo ndani ku-withdraw fastaaa.
.
Cheza M-bet,1Xbet, bikosports ujute kama una mgonjwa na huna pesa nyingine zaidi ya uliyompuna mzungu anakufa.
 
Umeweka sh ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…