SAUSTINE CHARLES
JF-Expert Member
- Nov 23, 2014
- 364
- 335
Ligi ipi hii mkuu2+ za Lunch
View attachment 898685
Kampuni gani hii mkuu???2+ za Lunch
View attachment 898685
Ligi gani hi mkuuUshauri wakuu nataka niruke na odds mbili hizi nipate angalau kamtajiView attachment 898719
Mwenyew nataka kutembea nazoUshauri wakuu nataka niruke na odds mbili hizi nipate angalau kamtajiView attachment 898719
Hebu download live soccer hii itakusaidia kupunguza maswali na kujua ligiLigi gani hi mkuu
Unnakwenda kweli mkuu tukutumieKama nilivyoahidi, Naomba wale ambao wana matatizo na 1xbet kupitia kampuni ya MLIPA Wanitumie records za Mihamala Yao Ili nifike ofisini Kwao Watueleze tatizo nini.
Usikubali hela yako Ipotee..Hata kama ni miezi 6 nyuma.
Nitumie Inbox.
Salamu wadau , naomba mwenye uelewa anisaidie
-Wadau nimedraw pesa Jana usiku hiyo 45,000 na 5,000 ikakubali ikawa approved kama inavyoonekaka.
-ila kwenye transaction history hiyo miamala miwili ya juu ya 45,000 na 5,000 inaonyesha haijawa confirmed na mobile operator (na pesa bado sihapata)kama hiyo ya chini ambayo imeandikwa confirmed by mobile operator (mpunga umeingia kwenye akaunti.)
Cjawahi kutana na hili tatizo na nidraw Mara nyingi sana
Tatizo hapo lipo kwa nani?
View attachment 898560View attachment 898561
Naku inbox vp mkuu naenda seem gan mbona sionKama nilivyoahidi, Naomba wale ambao wana matatizo na 1xbet kupitia kampuni ya MLIPA Wanitumie records za Mihamala Yao Ili nifike ofisini Kwao Watueleze tatizo nini.
Usikubali hela yako Ipotee..Hata kama ni miezi 6 nyuma.
Nitumie Inbox.
Unnakwenda kweli mkuu tukutumie
Mkuu mbona kutuma shotscreen inagoma kwenye mesejiMkuu kwenye hela yangu ya Jasho sina utani nayo..by the way Ofisi zao zipo karibu na eneo langu la mihangaiko...So nikipata Records nitaleta Mrejesho hapa Jukwaani.
Nitahakikisha na Mihamala yenu inashughulikiwa nikiwepo palepale.
Mkuu mbona kutuma shotscreen inagoma kwenye mesejiView attachment 898731
Hawa jamaa wa 1xbet kila siku wanalalamikiwa, wasije kuwa ni DECI nyingine. Mkumbuke waliopanda mbegu DECI, mbegu zao zote zilizama jumla 😳🙄😵Aisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
Dah ambao hattumii hii kampun inakuajeogooo my balls[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah ambao hattumii hii kampun inakuwajeCXQNP
4+ cheap Odds[emoji23]
Stake ur balls!