Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Kila lakheriNakufata mkuu
Mapema sana. Mech YA Uganda Ikiwa 1st halfBet won
Nautalipuka kweli mkuu!Jioni hii nimejilipua na kutoka hivi View attachment 900201
Umenifanya nicheke peke angu ka chizi, ngoja nione Mkuu atakavyolipuka..lolote linawezeka 1st half gg kwa wakubwa ni mlipuko mkubwa.Nautalipuka kweli mkuu!
Mkuu, kule chimbo ulikokawa unapakuwa Correct score kumekauka siku hizi..?Mapema sana. Mech YA Uganda Ikiwa 1st half
Muwe mnaangalia na performance za tm.. Rwanda alishapigwa mechi zooote infact leo hiyo ndo point yake ya 1Rwanda pumbavu thanaaa mnashindwa kushinda nyumbani
parapanda italiaFrance vs germany 0-1
Princessbet
View attachment 899458
Yaani huna tofauti na mimi mpambanaji
Hapa tutalipuka.....? Yule mdau wa kulipuka vp, kalipukaArgentina v Brazil
Total Over 0.5 Odds 2+
Risky!!!
Zamani sana! Hukusikia kishndo?[emoji23]Hapa tutalipuka.....? Yule mdau wa kulipuka vp, kalipuka
[emoji3][emoji3][emoji16] hatari sanaZamani sana! Hukusikia kishndo?[emoji23]