Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inabidi uwe unasubiria mpk ile msg fulani y a beyonic ndo uweke pesa kabla ya kuipata hii pesa itapotea..

Mm nilipoteza mara mbili hivihivi nikajifunza..
Na kwenye kutoa... Mpaka upate meseji gani Kutoka bayonic!!??? .... Nimetuma mara zote bila kusubiri iyo meseji ya bayonic na pesa zimefika... Tatizo pekee ni kwenye kutoa ndio nimekuta makandonando
 
Daah Mkuu nahisi kuna Uhuni unataka kufanyika.Mbona Matatizo ni kwenye Malipo tu?

Mimi nina tatizo kama lako na pia Airtel Money tokea Jumamosi ya tarehe 6 hela haijaingia nilipofanya deposit mpaka leo haijarudishwa.

Kesho Naenda Ofisi za MLIPA Wanilipe hela zangu Mannually Aisee.Nionane na Meneja/boss wao.

Hao Airtel ndo balaa kabisa kwenye kudeposit mm nimekaa mwezi mzima Napambana nao warudishe hela yangu ndo wameirudisha baada ya mwezi mzima yani ilikuwa kila siku subiri masaa 72
 
4 cheap odds?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bali abarikiwe na bwana!
Screenshot_2018-10-16-06-31-00.jpeg
 
Pale kiukweli kuna usanii mkubwa nimegundua.....narudi zangu mkeka jackport
Mkuu SKU izi mkeka jackpot hakuna toka July sjui kafilisika ila mm nishawahi Kula laki na ushee wako poa ila si perfect 12 ya Jana niuongo
Screenshot_20181016-075951.jpg
 
Back
Top Bottom