Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ungekuwa powa watu wote tunaotumia 1x bet humu ku lodge hizi complain kila mtu kwa wakati wake! Wakikuta let say 20+ so email zinalalamikia suala moja watashughulikia fasta!
Mkuu tatzo lugha mkuu wangu, hapo tu ndio napokwamia upande wangu.
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Msaada namba za kampuni m-bet
 
Safi sana mkuu..Napenda watu kama nyie Mlio na uchungu na pesa Zenu.Mimi pia nina tatizo kama lako lina siku ya Nne leo.

Nimetuma meseji majibu hayaeleweki.E-mail Yao ni
[email protected] hawa ndio wahusika sana kuliko hao Customer Care nishawatumia meseji Pia kuhusu Ujinga wa MLIPA wanaotufanyia.
Ungekuwa powa watu wote tunaotumia 1x bet humu ku lodge hizi complain kila mtu kwa wakati wake! Wakikuta let say 20+ so email zinalalamikia suala moja watashughulikia fasta!

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu..Napenda watu kama nyie Mlio na uchungu na pesa Zenu.Mimi pia nina tatizo kama lako lina siku ya Nne leo.

Nimetuma meseji majibu hayaeleweki.E-mail Yao ni
[email protected] hawa ndio wahusika sana kuliko hao Customer Care nishawatumia meseji Pia kuhusu Ujinga wa MLIPA wanaotufanyia.


Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Ngoja na mie niwavurumishie li email
 
Hiyo nimewatumia jumapili..
Ngoja na mie niwavurumishie li email
Screenshot_2018-10-15-19-51-52.jpeg
 
Screenshot_20181015-180334.pngScreenshot_20181015-201609.png

tUFUNGE BDAY
 

Attachments

  • Screenshot_20181015-180250.png
    Screenshot_20181015-180250.png
    21.1 KB · Views: 29
PRINCEBET 18 PERC MKUU WANALIPA SIJUI KAMANYINGINE YA FREE BILAKODI SIIJUI
Wana kata lakini ina fidiwa kwenye BONUS kwa hyo yale makato huya oni yaan una lipwa kile ulicho stahili
 
Back
Top Bottom