Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nimetoa pesa 1xbet tangu saa 1 asubuhi mpaka sasa Haijafika... Hawa jamaa wameanza kuwa wazinguaji.... Pumbafu zao kabisa
hivi waki piga pin/freeze huduma zao tz itakuwaje?Get rid of M-LIPA [emoji23][emoji23][emoji23] wataelewa tu View attachment 899119
Wengine tuna siku Nne hazijafika..Nimetoa pesa 1xbet tangu saa 1 asubuhi mpaka sasa Haijafika... Hawa jamaa wameanza kuwa wazinguaji.... Pumbafu zao kabisa
Nawasilianaje na hao mlipa.... Mama zao nimevuta mpunga tangu saa1 asubuhi mpaka sasa haujafika ni ungese. nawasiliana na 1xbet majibu yao nayo utata utata mtupu. Mara wameshalipa nisubiri partner wao anidepositie mara tunapata system payment failure. Full makorokocho... Naomba namba za hao mlipa nao niwavaeGet rid of M-LIPA [emoji23][emoji23][emoji23] wataelewa tu View attachment 899119
Wamenijibu hivyo hivyo... Mpaka sasa Kimya ndio Nimeanza kuruka nao majoka upya... Yani nimeifuga Pesa wiki 3 nainenepesha tu Naikuta watu wapite nayo kiboya... Ujinga huuBaada ya kuwatumia details zote walozohitaji ndio wamenijibu hivyo.
Ngoja nivute subiraView attachment 899099
Mkuu leo tatizo lipo kwa 1x hawacomfirm transaction! Angalia transaction ulio ifanya kawa iko confirmed na operator wa 1x basi ni halali kuwavaa Mlipa!Nawasilianaje na hao mlipa.... Mama zao nimevuta mpunga tangu saa1 asubuhi mpaka sasa haujafika ni ungese. nawasiliana na 1xbet majibu yao nayo utata utata mtupu. Mara wameshalipa nisubiri partner wao anidepositie mara tunapata system payment failure. Full makorokocho... Naomba namba za hao mlipa nao niwavae
Safi hiyo imekaa vizuriGet rid of M-LIPA [emoji23][emoji23][emoji23] wataelewa tu View attachment 899119
Wamenijibu hivyo hivyo... Mpaka sasa Kimya ndio Nimeanza kuruka nao majoka upya... Yani nimeifuga Pesa wiki 3 nainenepesha tu Naikuta watu wapite nayo kiboya... Ujinga huu
Hawawezi kataa wateja makini kama sisihivi waki piga pin/freeze huduma zao tz itakuwaje?
Void ab initio
DeepPond
Jamaa wa tukutane shell
@na wengine wote mnaotumia kampuni hii?
Hahahahaha kwa nniborukuionampwa
match karibu inaisha 4 - 2Hii nimeitafutaaaaaa sioni hata sijui naipata wapi
Hawa jamaa tangu asubuhi nawapigia simu hawapokei, wanakera sanaWengine tuna siku Nne hazijafika..
Uzuri wa Tatizo linapomkumba mwingine Unaona wewe halikuhusu.Muda sio mrefu tutaanza kuongea Lugha moja kuhusu Hawa MLIPA..
Kuna Tatizo kubwa kwa Hawa Mlipa.
bora hujaipata ungekua unalia sahviHii nimeitafutaaaaaa sioni hata sijui naipata wapi
Isije kukimbia kama walivyokimbia Premierbet Nigeria na Ghana.... bora Premierbet ilikuwa kwenye vikaratasi hawa pesa zetu wanazo wao ohoooooo....Hawa jamaa tangu asubuhi nawapigia simu hawapokei, wanakera sana
Tooobaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]match karibu inaisha 4 - 2
Tunaomba matumizi ya herufi sahihi yazingatiwe............kwenye S tumia hivyo hivyo usiweke X tafadhaliHawa M-BET waseng kwel nimetoa hela lakini cha kushangaza mpaka hv xaxa aija ingia kwenye account yangu ya m-pexa
HahahahahahMkuu tatzo lugha mkuu wangu, hapo tu ndio napokwamia upande wangu.