Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ntasubiria mpka 2019 June 02 ama imekaaje...embu mtaalamu wa Sportpesa nipe dodoso apo nidownload softcopy angu
View attachment 898630
Mechi naona ilichezwa naona FT 1-3 wadau wamenlipa mzigo wote...
1539616855837.png
 
Emirates VS Al fulrhaija
FT 1-0
9.5odds
HT 0-0
 

Attachments

  • Screenshot_20181015-184100.png
    Screenshot_20181015-184100.png
    14.7 KB · Views: 41
Almanusura apigwe
 

Attachments

  • Screenshot_20181015-191413.png
    Screenshot_20181015-191413.png
    48.8 KB · Views: 41
Hajajibu[emoji23][emoji23]
Mkuu tumia email kupeleka malalamiko ya mlipa huenda 1xbet wakatubadilishia hawa vibaka, hao unaochati nao %kubwa hawajui chochote nao malalamiko yako huwa wanayawasilisha kwa specialists
 
Mkuu tumia email kupeleka malalamiko ya mlipa huenda 1xbet wakatubadilishia hawa vibaka, hao unaochati nao %kubwa hawajui chochote nao malalamiko yako huwa wanayawasilisha kwa specialists
Ungekuwa powa watu wote tunaotumia 1x bet humu ku lodge hizi complain kila mtu kwa wakati wake! Wakikuta let say 20+ so email zinalalamikia suala moja watashughulikia fasta!
 
Back
Top Bottom