fofre
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 805
- 1,308
Kwa Hawa police wetu wanavyopenda sifa, yote inaishia MOI[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli mkuuu; ningekua dar ningefanya hivo
Kwa Hawa police wetu wanavyopenda sifa, yote inaishia MOI[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli mkuuu; ningekua dar ningefanya hivo
HahahHovyo sana wale wajukuu wa malkia me niliweka special bet ya under 5goals kwa kila timu, over 1 card kwa kila timu na over 2 corners kwa kila timu nikatia 10k safi kabisa bas mpaka mwisho nilitaman niingie uwanjan nikafos hizo kona mbil za england maana ndio zilibak lakin dah mrusi kiubwede kabisa akazama na 10 langu.
Me najilipua kwa hii....Tanzania Over 1.5.....Odds 2.04Wale risk takers Odds 1.8
View attachment 900070
saafiiMe najilipua kwa hii....Tanzania Over 1.5.....Odds 2.04
AiseeMe najilipua kwa hii....Tanzania Over 1.5.....Odds 2.04
Hii una beti, Unaweka Milioni...Alafu unaingia uwanjani....hhahahView attachment 899913
Hii imekaaje wadau
Uzalendo unalipa sometimes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saafii
haha..mkuu bado goal 1 match zikwishe.Aisee
hahaha..sawa mkuu..kama ulikuwa mzalendo utakuwa uliweka zaidi ya elfu10 adi laki1?!Uzalendo unalipa sometimes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyefwata....Go cash out! Wooooon[emoji23][emoji23][emoji23]Hungury v Austria (U19)
Over 2.5 odds 2+
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mkuu void naomba Sana unitafute kwa namba hii ..Aisee
TupooooMliomuua Tanzania mpo