KipusaNDAMCHO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,572
- 1,464
Namba unayoweka pale ndiyo itatumika kuamisha pesa. Hakuna haja ya kubadili namba aliyosajilia.Huku sasa ndo tunaita kuitest hela yako halafu ikikwama tunaanza kuwalaumu watu wkt mengine tunayajaribu sie wenyewe
Kwanini msimshauri akabadili namba ktk utaratibu wa kawaida kuliko hicho mnachomuelekeza?
Naam kaka nimejaribu kudeposit kwa no ya tigo na imekubali ingawa nimejisajili kwa Voda....shukrani wadauNamba unayoweka pale ndiyo itatumika kuamisha pesa. Hakuna haja ya kubadili namba aliyosajilia.
Nisaidie namba za hao mlipaBado Mkuu..So far nimepata mrejesho wa watu 3 tu Inbox wenye matatizo Sugu ya kutorejeshewa Fedha zao.
Nahaidi kwenda na Nitaleta Mrejesho hapahapa..
Nisaidie namba za hao mlipa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwa hisan ya south Korea
Mkuu umefanyaje adi umepata tafadhariHatimae baada ya kukomaa na mlipa wameniwekea pesa yanguView attachment 899847View attachment 899849
SawaaaBenk nyingi wanatoa mastercard na visa card nenda benk utafahamu zaidi cha msingi ukipata kadi ujaze fomu ya kuruhusu manunuzi ya mtandaoni
Huyo cape something anapigwa leo!Mkeka wa leoView attachment 899905
Were kwa timu yetu hatuwawezi hawa tunapigwaHuyo cape something anapigwa leo!
Tupw code mkuuMkeka wa leoView attachment 899905
Huyo cape something anapigwa leo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuh hiz kampuni kwa option hazijambooView attachment 899913
Hii imekaaje wadau