Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Kuna huyuu bwana niliongea nae wa mlipa 0758460813 akasema anaziona pesa zangu zipo ila system yao wanairekebisha kwa Jana na Leo wataniingizia ela yangu, kweli Leo wamenilipa.Mkuu umefanyaje adi umepata tafadhari
NB:Huyo bwana kupokea simu ni tabu sana.