Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

17/10/2018
Saa1 na nusu Usiku
League : Italy : Serie C
Ternana vs Albiomleffa
Tip 1 - HT/FT - Home win/Home win - Odds 2.84
Extratip CS - (1-0) Odds 3.48 or (2-0) Odds 9.68
 
Jamani mbona Leo kila nikijaribu kubet premier bet nikiweka dau zaid ya 500 inanigomea inaniambia maximum stake nayotakiwa kuweka isizid 500 ni Mimi tu mwenye hili tatizo au?
 
Jamani leo 1xbet hakuna kutoa pesa maana nimejaribu mitandao yote fedha haiwekwi kwenye account
 
Jamani leo 1xbet hakuna kutoa pesa maana nimejaribu mitandao yote fedha haiwekwi kwenye account
Inakuwaga mbaya sana ikiwa ivo unaweza jikuta unaanza kuibetia alaf unaliwa unaanza kulaumu bora ingetoka
 
Daahhh, story za kubeti hadi raha. Nikiwa na stress napitia huku nacheka mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…