Hatar broo,,,Mrusi kashikilia kibubu, ni mwendo wa refund.
kuwa na maoption mengi sio shida, ndio mana wengi wakiingia huko wanalalama kuliwa sana coz wanalazimisha kubetia option ambazo hawana utaalamu nazo sana. unaweza kuta upo huko halafu option uzitumiazo hata kampuni za kibongo zipo. halafu kiasi fulani option baadhi ni zile zile tu zinageuzwa.Sorry mkuu, Hivi kwenye hizi kampuni za Kibongo mnaonaga kuna Options za kutosha kweli?
Mimi tokea nimeijua 1xbet naona kampuni za Kibongo walikua wanatubana sana.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
of coz mkuu kuna timu ukiiangalia tu unakuta huna hata haja ya kufanya analysis.KAMA UMEBET ZAID YA MWAKA 1 UWEZO WA KUBASHIRI TIMU 3 AU 2 LAZMA UWE NAO
ndio huwa inatokea kwa bahati mbaya tu mfano ile cku ya spain na england watu wanazaidi ya miaka 60 wanapigwa tu hapo ni bahahti mbaya tu timu 2 au 3 kubet uhakika wa kula 85% kuliko timu 20 afu inachana moja sema napo pia inataka hela nyingHata chache pia hua zinachana, inategema tu na upepo ila sema hizo chache kuna uwezekano mkubwa wa kula
Pesa inanukia.Weka ndoanoView attachment 902671
Ikikomea hapohapo itakuwa ni muendelezo wa refund[emoji23]Pesa inanukia.
HahaaIkikomea hapohapo itakuwa ni muendelezo wa refund[emoji23]
Hahaa
Shida option ya under mm siipendi kazi ya kuzuia magoli sio rahisi. TehtehtehMaana naona wamema wamekaza kwelkwel kama vinacheza vidume goli chache kwel.
Shida option ya under mm siipendi kazi ya kuzuia magoli sio rahisi. Tehtehteh
Naombeni mwenye link ya kudownload app ya 1xbet anitumie nidownload kweny android yangu
Hyo mrusi huwa ananipuna sana hasa kwenye inplay nashoboka na under namaliza tu kuweka mzigo goli linaingia nabaki najisonya peke yangu kama mwehu ahahah.
NimejaribuHela ya supuView attachment 902768