Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chukua hela hiyo.
Screenshot_20181019-140629~2.jpeg
 
Weka chombo kingine hapo kile cha u23 imekula kwangu kama busted hapo juu[emoji28] sema huku kwenye betting nikiliwa naona fresh tu si najiua mwenyewe kuliko zile bukubuku za tatu mzuka na biko hata hizo draw sijui zinachezeshwa vip naonaga wiz mtupu.
Hahah kweli bhn mie hata nkipigwa naonaga fresh tu yan
 
Back
Top Bottom