The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,510
Kaka inplay kwa lugha nyingine ni Live yaan mechi iliyokwisha kuanza.[emoji35][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35] In maana wote humu mmeshindwa kunielekez namna ya kucheza in play?????
Kampuni yoyote ukikuta Live au In play au live bet yote sawa tu tofauti ni misamiati tu, Maana yake ni kubeti huku mechi tayar ikiwa inaendelea.