TgoMtandao gani?
Dah ngoja nibadili mtandaoHata me tigo imenigomea nikaamua kudeposit kwa kupitia airtel, nazan tigo ndio wanazingua leo.
Hailet notification
Mrejesho vipiDhubutu!!!!!!!!
Itakuaibisha Kiongozi, Correct score going 3-1
Yasangap iiChukua hela hiyo.View attachment 903263
Over1 inamaana gani mkuu tusije tukabeti tu kumbe option ngumuChukua hela hiyo.View attachment 903263
Aliyefwata......Go cash out..... WOOOOOOON!In play
Kanazawa v Ehime
Under 0.5[emoji23][emoji23][emoji23]
2+ odds!
Risky!!!
Aliyefwata......Go cash out..... WOOOOOOON!
Busted [emoji13]Chukua hela hiyo.View attachment 903263
Uzuri wa in play huwezi kupigwa sana, ni kupigwa na kupiga zaidi.Aliyefwata......Go cash out..... WOOOOOOON!
Hahaa.....AiseeeAiseee! In Void's voice[emoji28]
Hahaa.....Aiseee
Hahah kweli bhn mie hata nkipigwa naonaga fresh tu yanWeka chombo kingine hapo kile cha u23 imekula kwangu kama busted hapo juu[emoji28] sema huku kwenye betting nikiliwa naona fresh tu si najiua mwenyewe kuliko zile bukubuku za tatu mzuka na biko hata hizo draw sijui zinachezeshwa vip naonaga wiz mtupu.
Mkuu kuwa mstaarabu utajibiwa[emoji35][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35] In maana wote humu mmeshindwa kunielekez namna ya kucheza in play?????