Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mkuu humuhumu zikiwemo ndoano huwa narushia.Aisee mkuu tafadhali sanaa nitumie no yako ya whatsap niwe natembea na ww
Mkuu humuhumu zikiwemo ndoano huwa narushia.Aisee mkuu tafadhali sanaa nitumie no yako ya whatsap niwe natembea na ww
Wakuu tuombeane mkeka wangu unapumua kwa mashine ya ICU maana nimeweka timu 20 mmh napumua kwa shida balaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti napumua kwa shida!Wakuu tuombeane mkeka wangu unapumua kwa mashine ya ICU maana nimeweka timu 20 mmh napumua kwa shida balaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaaan hatari tupuAhahaha ukichomoka hapo we mwanaume kama naona unavyotembelea rim kila mara unaichungulia simu yako mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee lazima ashikilie moyo. Tehtehteh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti napumua kwa shida!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo hivyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti napumua kwa shida!
Aisee, bandika bandua.View attachment 903744
hela kabisa hiiOhooo mara mikeka haionekani . Hzo hapo zinaanza saa nneView attachment 903826
Mapema tuGalatasay anawatakia usiku mwema.
Unaingia seem gn kuangalia mkuuHii ndo raha ya inplay 1xbet unabet huku unatazama matchView attachment 903831