UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,563
- 1,393
Wadau nisaidieni jinsi ya kuweka ela 1xebet
Odds 6 ki vipInplay
Celta Vigo vs Deportivo Alaves
Deportivo Alaves win
Odds: 6.2
Daah mkuu naenda tu tayari goliInplay
Celta Vigo vs Deportivo Alaves
Deportivo Alaves win
Odds: 6.2
Niliweka hii kabla ya deportivo Alaves kupata kwasasa zimeshukaOdds 6 ki vip
Dah pole sana mkuuDaah mkuu naenda tu tayari goli
Na bahat mbaya sna na tips zako kila saa nachelewa saa hv ningekuwa mbalNiliweka hii kabla ya deportivo Alaves kupata kwasasa zimeshuka
Dah pole sana mkuu, nilimwamini sana Deportivo leo ndio maana mkeka wa mwanzo nilimpa 2x,baadae nikaweka mwingine nikampa mazima kabisa,ila usijalaumu mkuu ni upepo tu umeenda vizuri kwasasa muda wowote unaweza kubadilikaNa bahat mbaya sna na tips zako kila saa nachelewa saa hv ningekuwa mbal
Usihofu, Lyon kashinda mapema sana.hahaa,bado Lyon mkuu
Dah nd natimba ningewah ningewek hiInplay
Celta Vigo vs Deportivo Alaves
Deportivo Alaves win
Odds: 6.2
Game imeshaisha Lyon ameshinda mkeka umekua won asante kwa pongezi mkuu.Usihofu, Lyon anashinda mapema sana.
Uyu C/Brugge kawa kimeo siku izi hii game yupo nyumbani kashindwa toka na ushindi daaah BAN ita mfaa zaidi
Kila MTU atume anachopenda, hata wewe unaweza kutuma mikeka. Tuache ushamba wa kulalamika humu kila mtu yuko huru kwasababu kila mtu anatumia bando lake. Hakuna mtu aliyeajiriwa humu. #TusipangianeChaKupost.wadau tujitahid kutuma mikeka kabla sasa unatuma mech imeisha ili nn asa tuache ushamba
Kila MTU atume anachopenda, hata wewe unaweza kutuma mikeka. Tuache ushamba wa kulalamika humu kila mtu yuko huru kwasababu kila mtu anatumia bando lake. Hakuna mtu aliyeajiriwa humu. #TusipangianeChaKupost.
Tehtehteh sio shida, ila inakera mtu anakuja kulialia humu na kupanga masharti eti watu wasitume mikeka walioshinda. Yeye kama nani? Mtu kutuma mkeka humu ni hisani na hiyari yake tu lakini sio kuja kuita watu washamba. After all mtu amezinduka sijui usingizini huko anakuja kuita watu washamba. Kama mhindi amekupuna wewe pambana na hali yako usije kutukana watu. TUKUTANE BAADAYE INPLAY. tehtehteh.Teh teh teh mkuu Void wadau wanataka kutembea na ww, aiseeee!
Tehtehteh sio shida, ila inakera mtu anakuja kulialia humu na kupanga masharti eti watu wasitume mikeka walioshinda. Yeye kama nani? Mtu kutuma mkeka humu ni hisani na hiyari yake tu lakini sio kuja kuita watu washamba. After all mtu amezinduka sijui usingizini huko anakuja kuita watu washamba. Kama mhindi amekupuna wewe pambana na hali yako usije kutukana watu. TUKUTANE BAADAYE INPLAY. tehtehteh.