Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mkuu Tehtehteh, watu wana stress. Anayenuna anune tu. Hili ni jukwaa huru sio lazima kila mtu acheke. Tehtehteh.Mkuu si umesoma lakin? Umesahau enzi za chabo? We kipanga mkuu Void ukijaza pepa lako acha wazi na sisi vilaza tuibie, ukileta pepa lako umetoboa wakati ulitubania kwenye chabo ndio hvi tena tunanuniana teh teh teh..