Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahahaha ukichomoka hapo we mwanaume kama naona unavyotembelea rim kila mara unaichungulia simu yako mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu tuombeane mkeka wangu unapumua kwa mashine ya ICU maana nimeweka timu 20 mmh napumua kwa shida balaaaa
 
Ahahaha ukichomoka hapo we mwanaume kama naona unavyotembelea rim kila mara unaichungulia simu yako mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaaan hatari tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…