Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Asante mkuu.Hongera sana mkuu
We bado upo na m bet una moyo wa chuma hata motoni unaweza kuishiUshauri wadauView attachment 904350
Odd ngapi hizo jumlaUshauri wadauView attachment 904350
Odd 5Odd ngapi hizo jumla
Nimewakumbuka tu leoWe bado upo na m bet una moyo wa chuma hata motoni unaweza kuishi
Thubutuuu na ukipigwa ...unakua umepigwa kotekoteKuna wakenya wanauza Odds 120 elf 20000 VIP 100000
Ha'po wacheze kila kipindi goli liiingie Weka 10.theni buku tano Weka huo mkeka wakoUshauri wadauView attachment 904350
Handcap inamaanisha ñn mkuuUshauri hapo ...nataka kuweka mzigoView attachment 904359
Duh sasa kiongozi unabet halafu hujui handcap ....mpk Mimi mdada nakuzidi...kwa kweli me siwezi kuelezea watakuja kukueleza soonH
Handcap inamaanisha ñn mkuu
wakati bado tunasubiri mikeka hiyo miguu ni ya kwako?Duh sasa kiongozi unabet halafu hujui handcap ....mpk Mimi mdada nakuzidi...kwa kweli me siwezi kuelezea watakuja kukueleza soon
WOOOON, MKAWITHDRAW MNYWE SUPU.Pesa ya supu hiyo hapo, saa mbili ngoma inaanza.View attachment 904330
Ishatick mkuu asante sanaPesa ya supu hiyo hapo, saa mbili ngoma inaanza.View attachment 904330
Aiseee,Duh sasa kiongozi unabet halafu hujui handcap ....mpk Mimi mdada nakuzidi...kwa kweli me siwezi kuelezea watakuja kukueleza soon
Pamoja.Ishatick mkuu asante sana
AiseeAiseee,
Ukanywe supu sasa, tehtehtehIshatick mkuu asante sana