Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
Thubutuuu kuna siku young boy aliondoka na laki moja yangu yaani maumivu nliyopata sisemiHaha hiyo ganz najua haina maumivu
Thubutuuu kuna siku young boy aliondoka na laki moja yangu yaani maumivu nliyopata sisemiHaha hiyo ganz najua haina maumivu
Huu mchezo ni bahati tu angalia hapo odd ya 1.7 imemchania.Jamaa atakuwa anacheza kamari sio biashara kama wengi tunavotegemea
Mzee baba kwa mtaji huo bado unaweka ACCA?View attachment 904533Asubuhi Tuuu nshapgwa 50000 ya fasta fasta aiseee 1xbet n Kboko
Odd ya 1.7 lakini ni accumulator sio singleHuu mchezo ni bahati tu angalia hapo odd ya 1.7 imemchania.
Hata single sometimes inachana mkuu hujawahi kuona?Odd ya 1.7 lakini ni accumulator sio single
Daah mkuu izo ni inplay auView attachment 904533Asubuhi Tuuu nshapgwa 50000 ya fasta fasta aiseee 1xbet n Kboko
Apana mkuu MPE home winwazee wakujilipua odds 4.8 yenisey anashinda game hiiView attachment 904560
ok ni vyema lkn kwa leo nimemkataaaApana mkuu MPE home win
Kwahyo umempa mkuuok ni vyema lkn kwa leo nimemkataaa
yah nimpa ndugu yanguKwahyo umempa mkuu
Hahahaa uwez kuwa serious embu tuwekee uo mkeka apa nakama kweli umempata walah namm namna embu tuwekee apayah nimpa ndugu yangu
Ajax,Roma,Juve all win,Madrid under 4.5!!.Tusaidiane Odds niludshe hela yangu
Yeah kawaida ila risk ya single na acca ni tofautiHata single sometimes inachana mkuu hujawahi kuona?
Void kazi nzuli mkuu tuko pamoja hapo wengine tumejificha vichocholon hukuWOOON MKAWITHDRAW.