Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_2988.JPG
Asubuhi Tuuu nshapgwa 50000 ya fasta fasta aiseee 1xbet n Kboko
 
Vp tena mkuu unajiamini nn unapokuwa unacheza....apo kuna mawili kupiga na kupigwa lazima uwe makini unapocheza ndo maana wengine tumebakia tu kutoa macho uku ikitupiwa tu tunapita nayo
 
Back
Top Bottom