m2 people
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 321
- 330
Duuu sawa kweli mnakesha kama popo mwendo wa kumfilis mturuki tuuWenzako awalali ww unauliza ya mchana uu watu washapiga ela
Duuu sawa kweli mnakesha kama popo mwendo wa kumfilis mturuki tuuWenzako awalali ww unauliza ya mchana uu watu washapiga ela
Goal interval ukishuka chn kwenye option ila sio timu zote zinakuwa na goal intervalMkuu nielekeze Hyo option ya dkka 15 no Goal. Naipata sehemu gan
_1xbet version_
Time [emoji125][emoji2382] 7 : 30 pm
Code [emoji1593][emoji1593] YE8HQ
Freiburg - Borussia Monchengladbach
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.62
Real Valladolid - Espanyol
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.83
Nimes Olympique - AS Saint-Etienne
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.83
*5.42 ODD*
_5 minutes Will tell[emoji848][emoji848]_
Mipira ya kurusha isizidi 3 ( kwa lugha rahisi iwe kuanzia 0,1,2 au 3) ikiwa 4 bet lostMkuu hii TU 3.5 siielewagi, nimeelewa tu kutakuwa throw in kutoka dk 0 mpka 4.9min, sasa hapo inakuwaje mkuu? Kuwe na mirusho ziad ya 3.5 au chin ya 3.5 ndan ya hzo dk 5? Nieleweshe mkuu.
Mipira ya kurusha isizidi 3 ( kwa lugha rahisi iwe kuanzia 0,1,2 au 3) ikiwa 4 bet lost
Welcome backDah[emoji57] , been busy running other stuffs now lets chase those papers [emoji736] [emoji736]
TU 3.5 Throw-ins from 0:00 To 4:59 hii inamaana gani mkuu nimeahindwa kuielewa?? Alafu inapatikana sehem gani??_1xbet version_
Time [emoji125]♀ 7 : 30 pm
Code [emoji1593][emoji1593] YE8HQ
Freiburg - Borussia Monchengladbach
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.62
Real Valladolid - Espanyol
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.83
Nimes Olympique - AS Saint-Etienne
Total Events To Happen: *TU 3.5 Throw-ins From 0:00 To 4:59*
1.83
*5.42 ODD*
_5 minutes Will tell[emoji848][emoji848]_
Msaada mzee baba ipo sehem gani kwenye 1xbet maana wengine wagen na hii appMipira ya kurusha isizidi 3 ( kwa lugha rahisi iwe kuanzia 0,1,2 au 3) ikiwa 4 bet lost
Zipo mkuu ila adi kuwe na game zinazo chezwa unaenda kwenye herufi T unaona though somtyms awawekNaomba mnisaidie kuzipata tima za tanZania bara mm kweny app yang sizion kabsaa
8!Mkuu hivi toto jackpot ya mechi 15 unanzakulipwa ukipatia ngapi?
Sawa mkuu
Sawa kwenye eruf t iko wap iyo kaka unaweza kun tag screen shoot kakaZipo mkuu ila adi kuwe na game zinazo chezwa unaenda kwenye herufi T unaona though somtyms awawek
Hivi mimi nikiweka mkeka hainipi code ? au hii ni kwa wanaotumia application ya simu tuu? naomba ufafanuzi wataalam maana nashindwa kuwashirikisha wengine nilicho betLet's try these 6.52 oddsView attachment 911445
Hata kwenye web...kwenye bet slip yako kwa chini kuna maneno "save/download" clip apo utaweza save mkeka wako na utapewa code then zilete hapa watu waangue vilio au wacheke....Easy!Hivi mimi nikiweka mkeka hainipi code ? au hii ni kwa wanaotumia application ya simu tuu? naomba ufafanuzi wataalam maana nashindwa kuwashirikisha wengine nilicho bet