Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Ukiingia footballSawa kwenye eruf t iko wap iyo kaka unaweza kun tag screen shoot kaka
Ukiingia footballSawa kwenye eruf t iko wap iyo kaka unaweza kun tag screen shoot kaka
NmekusomaUkiingia footballView attachment 911752
Wakuu uo mkeka ni loss au win na kwannView attachment 911881
Ahaa nlijua game nzimaNi Loss ulichagua timu 2 second half apate goli 1 na zaidi lkn hajapata goli hata moja hapo
Ahaa nlijua game nzima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uu mchezo somtyms unaumizaga sana moyo wanguHata game nzima bado pia ilikuwa ni loss maana hajapata goli, tuendelee tu kupambana haina kukata tamaa ila usimwambie Magu aufungie mchezo maana sungusungu ukiliwaga ada unakuwaga mbogo mkuu ahahhaha.
Wachek m lipaNime withdraw pesa 1xbet ila mpaka sasa haijafika msaada nifanyeje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uu mchezo somtyms unaumizaga sana moyo wangu