m lipa hao wamenikimbiza 1xbet hadi leo cjalipwa pesa yanguNime withdraw pesa 1xbet ila mpaka sasa haijafika msaada nifanyeje
Daah mkuu tatzo mm nililiwaga laki9 na nilikuwa na system nzuri ya bila tamaa nilikuwa na bet game1 tu napiga ela balaa lkn kuna pepo liliingia wiki za nyuma kila game kubwa inazngua c baca wala Madrid wala bayan yan kila mkubwa niliisi moyo unatoka nilishindwa rudisha ela ad nkashuka dau et Leo naweza bet ad buku5 daahNa kuuacha hauwez ahahaahah, usijal tunapigwa wengi sema wengine tunaugulia chinchin tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Daah mkuu tatzo mm nililiwaga laki9 na nilikuwa na system nzuri ya bila tamaa nilikuwa na bet game1 tu napiga ela balaa lkn kuna pepo liliingia wiki za nyuma kila game kubwa inazngua c baca wala Madrid wala bayan yan kila mkubwa niliisi moyo unatoka nilishindwa rudisha ela ad nkashuka dau et Leo naweza bet ad buku5 daah
Sure mkuu sema iyo buku5 nlikuwa natest option saiz nacheza na laki moja sizidish atleast naelekea kdgMaisha ni kupanda na kushuka mkuu utarud tena tu kwenye level zako anza mdogomdogo ni hilohilo dau lako la buku tano tano.
Vizuri mkuu acha tuendelee kupambana mpaka tone la mwisho mkuu.Sure mkuu sema iyo buku5 nlikuwa natest option saiz nacheza na laki moja sizidish atleast naelekea kdg
una namba zao za bongo.... naombaMimi situmii MPESA ILA WANANILETEA HIVYOView attachment 912016
Kwenye app kuna sehemu ya kuchat nao moja kwa moja wanajua mpaka liswahiliuna namba zao za bongo.... naomba
nikichat Kule wananiletea maemailKwenye app kuna sehemu ya kuchat nao moja kwa moja wanajua mpaka liswahili
nikichat Kule wananiletea maemail
+254 702 400200 wacheki whatsappnikichat Kule wananiletea maemail
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hata game nzima bado pia ilikuwa ni loss maana hajapata goli, tuendelee tu kupambana haina kukata tamaa ila usimwambie Magu aufungie mchezo maana sungusungu ukiliwaga ada unakuwaga mbogo mkuu ahahhaha.
ila option ya direct win kwa pesa nying sio kabisa yanDaah mkuu tatzo mm nililiwaga laki9 na nilikuwa na system nzuri ya bila tamaa nilikuwa na bet game1 tu napiga ela balaa lkn kuna pepo liliingia wiki za nyuma kila game kubwa inazngua c baca wala Madrid wala bayan yan kila mkubwa niliisi moyo unatoka nilishindwa rudisha ela ad nkashuka dau et Leo naweza bet ad buku5 daah
Haaa bora yakomm mwenyewe nilitaka kuweka laki mbili kwa psg machale yakanijia atachana ikabid nimpe barcelona na psg kwa laki moja moja psg akazingua
Elfsborg MAGOLI YAMERUDI