Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna Yule jamaa alisema kuwa Kati ya Juventus Na Bayern lazima kuna timu moja wapo itaondoka na mitaji ya watu nko zangu live score nachek nione kama n kwel
 
nataka kusajili acc meridian bet wananambia niweke promo code wakuu nimekwama msaada wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…