theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Wape namba yako watakupigia wao,pia chat nao kwa app wako fasta sanaJaman hamuoni hiiiiiiiii???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Halafu mkuu nimeshindwa namna ya kupata app yao make ata nikidownlod haiingii Kama app...badala yake natumia online Yan kama unaingia Google msaada plz...Wape namba yako watakupigia wao,pia chat nao kwa app wako fasta sana
Uko poa huuNimetoka ivoView attachment 913493
Mzee ulitaka kuondoka na kibubu chote cha mrusinilicho gundua saivi timu zinapenda shortcut timu inaona kuliko kufungwa bora itoe droo sasa tunazifuata huko huko ipo siku..
View attachment 913523
Wekeni tips za leo
We vp kijana!!! Ile app ya 1Xbet ipo nje ya playstore system kwahyo kwenye sehem ya security kweny cm yako ni lazima uruhusu ku-dowload app zilizopo nje ya playstore. La sivyo tumia online tuu. Na unapo-dowload app nje ya playstor, haiingii moja kwa moja ukaiona bali unatakiwa ui-install baada ya dowloading. Sasa usipoeelewa tena; usitumie app tumia onlime betting kama kawaidaHalafu mkuu nimeshindwa namna ya kupata app yao make ata nikidownlod haiingii Kama app...badala yake natumia online Yan kama unaingia Google msaada plz...
OkJameni ndugu zangu,
Mi sina roho ya ubahiri,wala uchoyo.
Huu hapa in mkeka wa kesho,tarehe 28/10/208. — 29/10/2018.
Nimeupost usiku huu ili wewe mwanabetting uuhakiki,uuchambue na kuuchukulie hatua.
Ni mkeka mzuri,wenye Odds 4+ najua,
Mtaalamu wa kubeti ushaelewa cha kufanya.
Najua keshokutwa utanifuata DM kunishukuru endapo Mungu akipenda.
Nawatakieni kila la kheri,View attachment 913161
hiyo inakuwa ni uhakika kuipataMeridian bet kiongoz hata play master