Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Toka nianze betting had leo,muhind kanilia 164k...

Mwez huu umekua mbov sana kwangu..sometime had nahis kama hii ishu haiwezekan,ni bahat nahisi.

Nilikua nakula sana inplay,ila naona imenigeukia sasa,..nmeamua ku quit betting hadi further notice
 
Duh mkuu usikate tamaa angalia kinachokukwamisha nin
 
Can't stop won't stop by "sean combs, diddy"
Tuendelee kupambana mkuu wengi tumepigwa sana tu ila ndio betting.
Toka nianze betting had leo,muhind kanilia 164k...

Mwez huu umekua mbov sana kwangu..sometime had nahis kama hii ishu haiwezekan,ni bahat nahisi.

Nilikua nakula sana inplay,ila naona imenigeukia sasa,..nmeamua ku quit betting hadi further notice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…