Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,718
- 1,660
Neema kwangu Jana wazee,mi nimepigwa mno lakni sikukata tamaaMkuu upo kama mimi,nimeamua nitulie kwanzaa kuanzia jana
Ona hapa chini
Neema kwangu Jana wazee,mi nimepigwa mno lakni sikukata tamaaMkuu upo kama mimi,nimeamua nitulie kwanzaa kuanzia jana
kujitoa tuNeema kwangu Jana wazee,mi nimepigwa mno lakni sikukata tamaa
Ona hapa chiniView attachment 914094
Mkuu aseno ashaanza nitoaa kijasho ee munguHahahahaha jamaa kauli zako huwa nacheka sana hasa ukiongea kama hivi alafu baadae unakuja kulalamika
Ni kupambana hadi tone la mwishoNeema kwangu Jana wazee,mi nimepigwa mno lakni sikukata tamaa
Ona hapa chiniView attachment 914094
Ni kupambana hadi tone la mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Anashinda usijali mkuu tena weka mkeka mwingine mpe arsenal mana nahisi atakua amepewa mzigoMkuu aseno ashaanza nitoaa kijasho ee mungu
Ana 4.4 mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Anashinda usijali mkuu tena weka mkeka mwingine mpe arsenal mana nahisi atakua amepewa mzigo
Jilipue hapoAna 4.4 mkuu
Mkuu hiyo inatosha endelea tu kushikilia moyo wako ukisubir kudra za mwenyezi Mungu maana lolote linaweza kutokea.Daah nisije nikazd mchangia maana ana 150k yangu
Niuze ama nikomae hadi mwisho? View attachment 914137
Hahaha leo Sungusungu atamloza mrusiGari limeshawaka hilo subir goli la 3 na la 4 ujihakikishie pesa yako mkuu, naona aseno ya unai inagawa tu pesa kama namuona Sungusunguu anavyotingisha mguu
Komaaa pesa hiyoNiuze ama nikomae hadi mwisho? View attachment 914137