Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mungu mbariki samatta...!


Money laundering!
Screenshot_2018-10-28-18-16-23.jpeg
 
Leo nilijaribu hivi nimeshinda ila ehee hapana nilikaa na presha muda wote nawaza hela yangu [emoji23][emoji23][emoji23] kwa presha hii sirudii
 

Attachments

  • IMG_0148.JPG
    IMG_0148.JPG
    145.9 KB · Views: 28
Direct win na double chance yoyote achana nayo... Ukitabiri 12 wanatoa draw. Ukitabiri 2x anashinda wa nyumban... And vice versa is true
 
Ahahahah we mwanamke presha za huku unaweza ukaenda mwezin ukafanye tour bila kupenda.
Leo nilijaribu hivi nimeshinda ila ehee hapana nilikaa na presha muda wote nawaza hela yangu [emoji23][emoji23][emoji23] kwa presha hii sirudii
 
Back
Top Bottom