Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka stake ndogo kwa option zenye probability kubwa ya kula hizo direct win presha inakuwa 10000/250000 na kama una mume basi unaweza usimuhudumie kama umeweka stake kubwa mpaka upate matokeo na mkeka ukiraruka i don't will happen ahahaha.

Ha ha ha ha ha
 
Aisee eee
Screenshot_20181028-204116~2.jpeg
 
Daah sema meridian washenz sanaa wanakataa ligi ya bongo kubetia timu moja naomba Mungu wasishtuke mapema waeendelee kutuwekea odds kubwa hivi hivi.. Sema wabongo tulivyowambea wiki ijayo lazima odds ziwe kidunchu maana leo watu wengi sanaaa wameweka mzigo kwa SIMBA
IMG_20181028_210428.jpeg
 
Back
Top Bottom