Nimejifunza kuwa katika maisha yako huwa huiamini tmu na pia wewe n mtu wakujiamini Sana . Umenipa funzo zuri Sana . Lakin huwa nakukubali Sana mamalai
Ndugu, hata haya maisha tu ya hapa Duniani tunayoishi ni risk coz hatujui siku wala saa ya kufa. Kila kitu tunachofanya hapa Duniani kina risk.. Hata kula chipsi ni risk coz BP na other related disease zinachagizwa na mafuta zinakaa karibu sana na wewe, Ni risk sana kusafiri kwa ndege angani ila kitu pekee binadamu alichofanya ni kupunguza na kuminimises risk ili iwezekane kusafiri juu kabisa ya uso wa Dunia na mwewe comfortably.
Hii ni somo hata katika uwekezaji wetu huu.. Kitu cha kwanza katika biashara yeyote ile ni kupunguza risk ya kupoteza mtaji wako kwa urahisi kwa tafsiri nyingine tunapaswa kuuprotect zaidi mtaji kuliko kufikiri kupata faida. Ndio ninachokifanya Mimi ninalinda sana mtaji wangu kuliko kufikiri kupata faida then technically najikuta napata faida ndogo ndogo kwa muendelezo. Nimebet kwa wiki zaidi ya NNE ila nakumbuka nimeliwa mara moja tu zingine zote nimetusua.
Double chance kwa timu zenye fomu nzuri kwa kila weekend ukiamua hukosi laki kama una mtaji. Nikirisk laki kwa odds 1.7 za timu mbili za uhakika wa kushinda kwa option ya double chance ina maana naweza kupata faida ya 70k kwa laki, kitu ambacho kinaendana sawa na reward ratio ya mtaji nilioinvest.
Double chance; kwa timu kubwa ndio miongoni mwa sure bet za uhakika kabisa kupiga hela kwa mfululizo unaweza fululiza hata wiki 7 bila kuliwa. Direct win siitoi mara kwa mara hadi hiyo timu niiamini zaidi ya maelezo.
Pia nimeibuni strategy moja ya betting matata sana inaitwa "0.5 betting strategy". Nimeibuni naifanyia majaribio ikionyesha mafanikio nitaiwasilisha hapa na tutatakiwa na task ya kuitoa dola 100 hadi ifike dola $ 376 in a certain period of time.
Tuwe na techniques, tactics and professional kwenye hii business na tusitumie nguvu kama wale askari wa zamani wa jeshi la kaptura na miguu peku ambao kwao professionalism, discipline, tactics havikuwa vinamata.
Nalala.