Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuuh warder bremen alikua na odd 1.23 afu kapigwa 6 mwenzie alikua na odd 8 daaaaah betting nomaaa
Screenshot_2018-10-28-21-49-43.jpg
 
Mkuu wewe post kadri unavyoweza kuna vitu nagain kutoka kwenye mikeka uliyoshinda, wasiotaka wasiangalie waangalie vingine.
Hahahahaha! Kweli mkuu! Watu naona wanapenda kuona text za vilio tu humu...alaaniwe Madrid, Monaco nampa ban etc[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wamepiga sana kelele kuusu direct win ila cha kushangaza adi nahisi kuna uchawi wakati nikiplace bet...kuna mdau jana aliweka mkeka apa akampa asernal direct win na mm nikafata na wakat nilishasema sitaweka direct win..mona sasa leo aseenal ananilaza njaa[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom