Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nataka niweke kilo apo ushauriiView attachment 913872
Winning rate = 38%

Risk reward yake ni nzuri kiaina mkuu. Kwa hizo timu possibility ni kubwa ya kushinda direct, though nashauri mpe arsenal double chance then Chelsea hata ukimpa direct win sio mbaya kwa form na potential aliyonayo msimu huu na risk yako itakuwa minimized hadi 26% percent which makes a lot of sense.
Lengo sio kupata faida kubwa lengo ni kupunguza hatari ya kuliwa na kuulinda mtaji wako kwanza kabla ya mengineyo.

Ukirisk 100k ili upate 70k ni biashara nzuri hiyo mkuu.

Tujifunze kucalculate and manage our risk kwanza kabla ya kufikiri faida.

"Consistency is the key"
 
Toka nianze betting had leo,muhind kanilia 164k...

Mwez huu umekua mbov sana kwangu..sometime had nahis kama hii ishu haiwezekan,ni bahat nahisi.

Nilikua nakula sana inplay,ila naona imenigeukia sasa,..nmeamua ku quit betting hadi further notice
Mkuu upo kama mimi,nimeamua nitulie kwanzaa kuanzia jana
 
Toka nianze betting had leo,muhind kanilia 164k...

Mwez huu umekua mbov sana kwangu..sometime had nahis kama hii ishu haiwezekan,ni bahat nahisi.

Nilikua nakula sana inplay,ila naona imenigeukia sasa,..nmeamua ku quit betting hadi further notice
Mkuu watu tunaliwa milioni bado tunapambana daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…