Kona nazcheza mara nyingi 2nd half, mara nyingi naweka under 8.5 total corners kwa game nzima na haijaniangusha so farKona unazichezaje mkuu? Over/under? Individual or ? Tupe elimu
Kona nazcheza mara nyingi 2nd half, mara nyingi naweka under 8.5 total corners kwa game nzima na haijaniangusha so far
Kwa mfano hiyo hapo, usishangae dau ni dogo bado natest mitambo[emoji1] [emoji1] View attachment 921238
Kwa mfano hiyo hapo, usishangae dau ni dogo bado natest mitambo[emoji1] [emoji1] View attachment 921238
Hii kampuni gani mkuu
Ile site inatoa matokeo ya mechi zinazoendelea na pia wanakuwa na statistics mbalimbali ya mechi hiyo mfano kona magoli nk.Sijaielewa ile site naomba unieleweshe vizuri mkuu sorry kwa usumbufu
1 xbetHii kampuni gani mkuu
Site gan mkuuu,,,,Ile site inatoa matokeo ya mechi zinazoendelea na pia wanakuwa na statistics mbalimbali ya mechi hiyo mfano kona magoli nk.
Pouwa kiongozi1 xbet
Pamoja manIle site inatoa matokeo ya mechi zinazoendelea na pia wanakuwa na statistics mbalimbali ya mechi hiyo mfano kona magoli nk.
Sometimes unazozijua ndio zinakuwa kikwazo hahahIla huu mchezo wa betting buana ni wa ajabu sana, yaani mtu unabet tu timu hata huijui ndani ya dk 45 unavuta mkwanja kimya kimya hahaaaa dah